Friday, March 31, 2017

Mambo 10 Kutoka kwake yanayoashiria kuwa mpenzi wako ni husband material


Husband Material na Boyfriend Material ni watu wawili tofauti. Tambua kama mpenzi wako ni Mume au mwanaume kupitia tips hizi

Kama upo katika uhusiano, na ukaanza kuwaza kuhusu maisha yenu ya baadae, unaweza kuwa unajiuliza je "huyu ndiye sahihi?" au unajichimbia shimo lako mwenyewe ambalo hutaweza kutoka. Sasa mwanaume unayetoka naye anaweza kuwa mwanaume mzuri wa kutoka naye lakini siyo mwanaume anayeweza kukumudu katika maisha yako na kuishi naye kama mume wako.
Na bahati mbaya hakuna kitu

Thursday, March 30, 2017

Sababu 11 za kwanini hajakuomba muoane!


  Je umekuwa na boyfriend wako kwa muda mmrefu na unaanza kujiuliza kamakweli atakuomba muoane au la? Tutakusaidia kujua kikwazo ni nini - nini kinamshika!..


Kwa wanawake wengi, kuolewa ni mojawapo yao makubwa katika maisha. Huwa wanawaza pete za dhahabu vidoleni mwao, magauni ya harusi, na anawaza kuyasema yale maneno "ndiyo nakubali kuwa wako milele" mbele ya rafiki zake wote na umati mkubwa. Vilevile, wanaume wengi wazo la ndoa haliteki akili zao kama wanawake. Japo, wazo la kuoa ni la muhimu pia kwao, lakini hawaendeshwi na wazo zima la kumvisha mwanamke pete, na kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa mwanamke na ishu nzima ya ndoa!.

Kwanini bado hajakuomba muoane?

Ishara 13 zinazoashiria anataka akuoe na anatamani kuishi na wewe!

 

Je kuna mwanaume anakuangalia sana kwa wakati mrefu ukiwa mgahawani, au darasani - au hata hotelini? Kuna mambo 13 atakayoashiria kuwa wewe ndiye mwanamke anayetaka kuishi na wewe.

Wanaume ni mojawapo ya viumbe vinavyochanganya sana duniani. Hiyo ni sana, na najua ni kweli. Wanaweza kukuonesha ishara zote na kila kitu kinaweza kikaonekana sawa, lakini wakati unataka kuenda katika hatua nyingine katika uhusiano wenu, wana

Monday, March 27, 2017

Njia 15 Za Haraka Za Kumsahau Ex - Boyfriend Wako


Kama umekua na wakati mgumu sana wa kumsahau mpenzi wako wa zamani, unaweza hitaji msaada kutoka nje. Hizi ndizo namna za kumsahau Ex- boyfriend wako.

Kuwa na uhusiano unaodumu haitokei sana kwa watu wengi - hasa katika ulimwengu wa sasa. Na inauma sana pale unapoachana na mtu ambaye awali haukuwa hata na wazo la kuwa naye lakini baadae mkawa wote na akaja kukuacha. Ni ngumu sana kumsahau - Lakini, kuna baadhi ya mambo unaweza kuyafanya na yakakufanya umsahau kabisa x-boyfriend wako - na kuachana na masononeko ya kila siku ambayo hayakusaidii.

Kwanini kuachana ni kitu kigumu sana?


Nadhani wote tunajua kuwa

Thursday, March 23, 2017

Namna ya kumfanya Boyfriend wako aku Propose(Kukuvisha Pete): Mambo 10 ya kumfanya akuvishe Pete

 

Mpo katika mapenzi mazito na yenye furaha iliyo ya juu kabisa, lakini hajawahi kukuuliza lile swali. Zifuatazo ni tips kubwa zitakazomfanya mwanaume wako aombe muoane(propose)

Wanawake wengi huiwazia sana makubwa hii siku tangu wakiwa wadogo. Gauni zuri jeupe, na refu, kutembea kwenye kapeti jekundu lenye maua ya nakshi, kumuona mwanaume wa ndoto zako anakusubiri pale mbele - inapendeza sana. Lakini unawezaje sasa kuyafanya haya mawazo yako yawe halisi na mpenzi wako aombe muoane?

Hii ina mtego sana ndani yake. kama unadhani/ unafikiri huu ni muda muafaka wa kupeleka uhusiano wako katika level nyingine na uwe katika ndoa kabisa, hicho ni kitu chema. Lakini mara nyingi,

Vitu 12 ambavyo wanaume wengi sana huvifanya kitandani ambavyo huwafanya wanawake kuigiza wameridhika!.


Je huwa unafanya mambo fulani kitandani ambayo humkatisha hamu ya mapenzi? Haya ni mambo 12 ambayo wanaume wengi huyafanya na kuwafanya wanawake wajifanye kama wameridhika badala ya kuridhika kweli(wana feki)!


Takwimu tofauti zinaonesha, na ni jambo ambalo hufaamika kwamba sio wanawake wote huwaga wanafika kileleni kila wakati wanapofanyamapenzi!

Lakini pia, wanaume wengi hupenda kuigiza na kujifanya kwamba wao ni wataalam sana wa mapenzi!

Na wanaume wa haina hii, hujisifia kwamba wao ni wazuri kiasi gani kitandani, na kwamba hakuna mwanamke yeyote ambaye alishalala nae ambaye hajamfikisha kileleni!.

Sasa, najua hii inakushangaza kidogo. Si ndiyo?

Kama kila mwanamke hugushi kuridhika kimapenzi, hawa wanaume siyo waongo?, au wanawake hawa ni wataalamu sana wa kufeki hayo mambo?!.

Kwa nini wanawake wengi huigiza katika hili?

Tuesday, March 21, 2017

Pillow talk - Maongezi nane ya kitandani ambayo yatamfanya akupende sana


Pillow Talk ni kitu gani na ni jinsi gani ya kufanya haya maongezi kuwa mazuri?

Inasemekana kwamba maongezi ya kitandani hufanya maisha ya mapenzi kuwa mazuri zaidi. Lakini Pillow Talk ni kitu gani? Fahamu kila kitu kuhusu pillow talk na jinsi ya kuifanya vizuri.

Kuna mambo mengi sana ambayo yanaweza kufanya uhusiano wa kimapenzi kuwa mzuri.

Kuna miongozo na kuna mitazamo.

Na kuna mambo mengi ya kujifunza na kumbukumbu nzuri za kukumbuka katika mapenzi.

[Soma: Miongozo 25 ya kufanikiwa katika uhusiano wa kimapenzi!]

Mawasiliano ni kitu kizuri katika katika mahusiano, lakini kuupata muda mzuri wa mawasiliano ambao utawafurahisha na kuwa mzuri kwa wote wawili huwa ni mgumu kidogo.
Na hapa ndipo Pillow Talk Inapochukua nafasi yake katika mapenzi!

Pillow Talk ni kitu gani hasa?

Pillow Talk ni aina ya

Monday, March 20, 2017

Ukarimu kwa mwanamke umekufa kwa sababu mwanaume ni mvivu


Je unadhani roho ya ukarimu / upole kwa wanawake juu ya wanaume umekufa au kupotea kabisa? Kwa jinsi wanaume wanavotenda na kuwa na matarajio makubwa siku hizi, ni dhahiri kwamba upole kwa wanawake 'unaweza' kuwa umetoweka.

Kwa baadhi ya wanaume, hii inaweza kuwa habari nzuri.

Na kwa baadhi ya wanawake hii inaweza kuwa habari kuu kuwa roho ya kwao kwao haipo tena.
Ukarimu ji jambo jema na la kufurahisha.

Huchanganya kwenye uelewa , na kama utatumiwa na wawili wapendanao, hufanya maisha yao ya mapenzi kuwa mazuri sana.

Kama mwanamke natambua ni jinsi gani wanaume wengi hujaribu kuwa wakarimu wanapokua na wanawake.

Wanaume wengi japo hawapo hivyo hujitahidi sana mbele ya macho ya mwanamke waonekane wakarimu.
Kiukweli,