Saturday, April 1, 2017

Sababu 20 za kuoa/kuolewa na kuishi maisha ya furaha baada ya ndoa!

 Je ulishajiuliza kua utaoa / kuolewa? Yafuatayo ni mambo 20 ya kuoa au kuolewa na kuwa na maisha ya furaha baada ya ndoa!

Ndoa zilipaswa ziwe zinafungwa Mbinguni.
Lakini kwa kiwango kikubwa cha utoaji talaka, utabaki kujiuliza kama kweli hii ndoa ina manufaa au uachane nayo tu!
[Soma: Sababu kubwa 20 za talaka ambazo wanandoa wengi huzipitia!]
Kwa kufikiria kuhusu ndoa, na wazo la kuishi pammoja ni kitu kirahisi sana.
Najua unaweza ukashangaa na kujiuliza kwa nini ujifunge kwa kuwa na mtu mmoja maisha yako yote.
Kupitia ndoa, huibuka masuala ya uwajibikaji, ubishi / mabishano na changamoto nyingi zaidi za kimaisha - kama hamtakuwa makini.
Na kuna kitu fulani kuhusu ndoa kinacho fanya ndoa iwe jambo ambalo ni serious.
Ni kama vile unatakiwa

Mambo 15 ya kumfanyia mwanaume unaempenda akuwaze muda wote!

 Mara nyingi sana umekuwa ukijitahidi kumfanyia mambo mpenzi wako ili akupende zaidi lakini hayo mambo yako yameishia kupuuzwa. Usijali -Hii haitokei tena! Tumia hizi njia 15 za uhakika kumchota moyo wake.


Kuweza kumpata na kumteka mwanaume akili zake siyo kazi rahisi.  Kwa masumbuko ya sasa kimaisha na ulimwengu ulivyoendelea kiteknologia kumfanya mwanaume unayempenda akupende sana inakuwa viumu kidogo! Huwezi kujua wanatafuta nini na ni nini wanakipenda hasa.

Mwanaume ni kiumbe cha ajabu na ni rahisi sana kumchota akili zake kama unampenda, japo wana

Mwanaume na Mwanamke wanaotaka 'kutoka' wote V.s Mwanaume na Mwanamke wanaotaka kuoana!

 Wanawake huamua vipi kuwa wewe ni mwanaume anataka kutoka na wewe tu au wewe ni wa kumuoa? Hapa utajifunza tofauti ya kuwa date material na busband material

Hakuna aliye zaidi ya mwenzake - wote tulizaliwa sawa, na katika hatua fulani katika maisha , unaweza ukawa unahitaji kuwa mwanaume anayetaka u date naye, lakini baadae utahitaji kuwa mwanaume anayehitaji kuwa naye maishani.

Sasa ni nini kinachomfanya mwanaume avutie msichana mpaka aamue kutoka nae?

Wanawake wanampenda mwanaume ambaye anavutia - "simaanishi kisura". Kama mwanamke anahitaji mwanaume wa kutoka naye tu na si wa kuishi naye, anapenda kuwa na mwanaume ambaye anamfurahisha na kumvutia. Uchaguzi wake huwa popote pale ambapo ataona pana mfaa.
Waanaume ambaye wanawake hupenda waolewe nao na kushi miaka yote, ni wale wanaume wanaoweza kumfanya mwanamke ajisikie analindwa, ana amani, na mwenye material au sifa za kuwa mume!.

Kujua unachokitaka katika maisha yako

Friday, March 31, 2017

Mambo 10 Kutoka kwake yanayoashiria kuwa mpenzi wako ni husband material


Husband Material na Boyfriend Material ni watu wawili tofauti. Tambua kama mpenzi wako ni Mume au mwanaume kupitia tips hizi

Kama upo katika uhusiano, na ukaanza kuwaza kuhusu maisha yenu ya baadae, unaweza kuwa unajiuliza je "huyu ndiye sahihi?" au unajichimbia shimo lako mwenyewe ambalo hutaweza kutoka. Sasa mwanaume unayetoka naye anaweza kuwa mwanaume mzuri wa kutoka naye lakini siyo mwanaume anayeweza kukumudu katika maisha yako na kuishi naye kama mume wako.
Na bahati mbaya hakuna kitu

Thursday, March 30, 2017

Sababu 11 za kwanini hajakuomba muoane!


  Je umekuwa na boyfriend wako kwa muda mmrefu na unaanza kujiuliza kamakweli atakuomba muoane au la? Tutakusaidia kujua kikwazo ni nini - nini kinamshika!..


Kwa wanawake wengi, kuolewa ni mojawapo yao makubwa katika maisha. Huwa wanawaza pete za dhahabu vidoleni mwao, magauni ya harusi, na anawaza kuyasema yale maneno "ndiyo nakubali kuwa wako milele" mbele ya rafiki zake wote na umati mkubwa. Vilevile, wanaume wengi wazo la ndoa haliteki akili zao kama wanawake. Japo, wazo la kuoa ni la muhimu pia kwao, lakini hawaendeshwi na wazo zima la kumvisha mwanamke pete, na kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa mwanamke na ishu nzima ya ndoa!.

Kwanini bado hajakuomba muoane?

Ishara 13 zinazoashiria anataka akuoe na anatamani kuishi na wewe!

 

Je kuna mwanaume anakuangalia sana kwa wakati mrefu ukiwa mgahawani, au darasani - au hata hotelini? Kuna mambo 13 atakayoashiria kuwa wewe ndiye mwanamke anayetaka kuishi na wewe.

Wanaume ni mojawapo ya viumbe vinavyochanganya sana duniani. Hiyo ni sana, na najua ni kweli. Wanaweza kukuonesha ishara zote na kila kitu kinaweza kikaonekana sawa, lakini wakati unataka kuenda katika hatua nyingine katika uhusiano wenu, wana

Monday, March 27, 2017

Njia 15 Za Haraka Za Kumsahau Ex - Boyfriend Wako


Kama umekua na wakati mgumu sana wa kumsahau mpenzi wako wa zamani, unaweza hitaji msaada kutoka nje. Hizi ndizo namna za kumsahau Ex- boyfriend wako.

Kuwa na uhusiano unaodumu haitokei sana kwa watu wengi - hasa katika ulimwengu wa sasa. Na inauma sana pale unapoachana na mtu ambaye awali haukuwa hata na wazo la kuwa naye lakini baadae mkawa wote na akaja kukuacha. Ni ngumu sana kumsahau - Lakini, kuna baadhi ya mambo unaweza kuyafanya na yakakufanya umsahau kabisa x-boyfriend wako - na kuachana na masononeko ya kila siku ambayo hayakusaidii.

Kwanini kuachana ni kitu kigumu sana?


Nadhani wote tunajua kuwa