Saturday, April 1, 2017

Sababu 20 za kuoa/kuolewa na kuishi maisha ya furaha baada ya ndoa!

 Je ulishajiuliza kua utaoa / kuolewa? Yafuatayo ni mambo 20 ya kuoa au kuolewa na kuwa na maisha ya furaha baada ya ndoa!

Ndoa zilipaswa ziwe zinafungwa Mbinguni.
Lakini kwa kiwango kikubwa cha utoaji talaka, utabaki kujiuliza kama kweli hii ndoa ina manufaa au uachane nayo tu!
[Soma: Sababu kubwa 20 za talaka ambazo wanandoa wengi huzipitia!]
Kwa kufikiria kuhusu ndoa, na wazo la kuishi pammoja ni kitu kirahisi sana.
Najua unaweza ukashangaa na kujiuliza kwa nini ujifunge kwa kuwa na mtu mmoja maisha yako yote.
Kupitia ndoa, huibuka masuala ya uwajibikaji, ubishi / mabishano na changamoto nyingi zaidi za kimaisha - kama hamtakuwa makini.
Na kuna kitu fulani kuhusu ndoa kinacho fanya ndoa iwe jambo ambalo ni serious.
Ni kama vile unatakiwa

Mambo 15 ya kumfanyia mwanaume unaempenda akuwaze muda wote!

 Mara nyingi sana umekuwa ukijitahidi kumfanyia mambo mpenzi wako ili akupende zaidi lakini hayo mambo yako yameishia kupuuzwa. Usijali -Hii haitokei tena! Tumia hizi njia 15 za uhakika kumchota moyo wake.


Kuweza kumpata na kumteka mwanaume akili zake siyo kazi rahisi.  Kwa masumbuko ya sasa kimaisha na ulimwengu ulivyoendelea kiteknologia kumfanya mwanaume unayempenda akupende sana inakuwa viumu kidogo! Huwezi kujua wanatafuta nini na ni nini wanakipenda hasa.

Mwanaume ni kiumbe cha ajabu na ni rahisi sana kumchota akili zake kama unampenda, japo wana

Mwanaume na Mwanamke wanaotaka 'kutoka' wote V.s Mwanaume na Mwanamke wanaotaka kuoana!

 Wanawake huamua vipi kuwa wewe ni mwanaume anataka kutoka na wewe tu au wewe ni wa kumuoa? Hapa utajifunza tofauti ya kuwa date material na busband material

Hakuna aliye zaidi ya mwenzake - wote tulizaliwa sawa, na katika hatua fulani katika maisha , unaweza ukawa unahitaji kuwa mwanaume anayetaka u date naye, lakini baadae utahitaji kuwa mwanaume anayehitaji kuwa naye maishani.

Sasa ni nini kinachomfanya mwanaume avutie msichana mpaka aamue kutoka nae?

Wanawake wanampenda mwanaume ambaye anavutia - "simaanishi kisura". Kama mwanamke anahitaji mwanaume wa kutoka naye tu na si wa kuishi naye, anapenda kuwa na mwanaume ambaye anamfurahisha na kumvutia. Uchaguzi wake huwa popote pale ambapo ataona pana mfaa.
Waanaume ambaye wanawake hupenda waolewe nao na kushi miaka yote, ni wale wanaume wanaoweza kumfanya mwanamke ajisikie analindwa, ana amani, na mwenye material au sifa za kuwa mume!.

Kujua unachokitaka katika maisha yako